Home
/
Swahili
/
Swahili New Testament
/
Web
/
1 Wakorintho
1 Wakorintho 2.13
13.
Basi sisi twafundisha, si kwa maneno tuliyofundishwa kwa hekima ya binadamu, bali kwa maneno tuliyofundishwa na Roho, tukifafanua mamboya kiroho kwa walio na huyo Roho.