Home
/
Swahili
/
Swahili New Testament
/
Web
/
1 Timotheo
1 Timotheo 5.21
21.
Nakuamuru mbele ya Mungu, mbele ya Kristo Yesu, na mbele ya malaika watakatifu uyazingatie maagizo haya bila kuacha hata moja, walakumpendelea mtu yeyote katika kila unachotenda.