Home
/
Swahili
/
Swahili New Testament
/
Web
/
2 Wakorintho
2 Wakorintho 11.21
21.
Kwa aibu nakubali kwamba sisi tulikuwa dhaifu. Iwe iwavyo, lakini kama kuna mtu yeyote anayethubutu kujivunia kitu--nasema kama mtumpumbavu--mimi nathubutu pia.