Home / Swahili / Swahili New Testament / Web / 2 Wakorintho

 

2 Wakorintho 12.21

  
21. Naogopa huenda hapo nitakapokuja safari ijayo Mungu wangu atanifanya niaibike mbele yenu, nami nitaomboleza kwa ajili ya wengi wa walewaliotenda dhambi lakini hawakujutia huo uchafu, tamaa zao mbaya nauzinzi waliokuwa wamefanya.