Home
/
Swahili
/
Swahili New Testament
/
Web
/
Yakobo
Yakobo 3.13
13.
Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aonyeshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake memayanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima.