Home / Swahili / Swahili New Testament / Web / Luka

 

Luka 2.21

  
21. Siku nane baadaye, wakati wa kumtahiri mtoto ulipofika, walimpa jina Yesu, jina ambalo alikuwa amepewa na malaika kabla hajachukuliwamimba.