Home
/
Swahili
/
Swahili New Testament
/
Web
/
Marko
Marko 2.21
21.
"Hakuna mtu anayekata kiraka kutoka katika nguo mpya na kukishonea katika nguo kuukuu. Kama akifanya hivyo, hicho kiraka kipya kitararukakutoka hilo vazi kuukuu, nalo litaharibika zaidi.