Home / Swahili / Swahili New Testament / Web / Ufunuo wa Yohana

 

Ufunuo wa Yohana 3.21

  
21. "Wale wanaoshinda nitawaketisha pamoja nami juu ya kiti changu cha enzi, kama vile mimi mwenyewe nilivyoshinda nikaketi pamoja na Babayangu juu ya kiti chake cha enzi.