Home / Swahili / Swahili New Testament / Web / Warumi

 

Warumi 4.13

  
13. Mungu alimwahidi Abrahamu na wazawa wake kwamba ulimwengu ungekuwa mali yao. Ahadi hiyo haikufanywa kwa sababu Abrahamu aliitii Sheria,bali kwa kuwa aliamini, akakubaliwa kuwa mwadilifu.