Home
/
Swahili
/
Swahili New Testament
/
Web
/
Warumi
Warumi 6.13
13.
Wala msitoe hata sehemu moja ya miili yenu iwe chombo cha kutenda uovu na dhambi. Badala yake, jitoleeni ninyi wenyewe kwa Mungu kamawatu waliofufuliwa kutoka wafu; toeni nafsi zenu zote kwa Mungu kwaajili ya uadilifu.