Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / 1 Mambo ya Nyakati

 

1 Mambo ya Nyakati 29.21

  
21. Wakamtolea Bwana dhabihu, wakamchinjia Bwana sadaka za kuteketezwa, siku ya pili yake, yaani, ng'ombe elfu, na kondoo waume elfu, na wana-kondoo elfu, pamoja na sadaka zao za vinywaji, na dhabihu nyingi kwa ajili ya Israeli wote;