Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / 1 Wakorintho

 

1 Wakorintho 1.21

  
21. Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa upuzi wa lile neno linalohubiriwa.