Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / 1 Wakorintho

 

1 Wakorintho 12.13

  
13. Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu Wayunani; ikiwa tu watumwa au ikiwa tu huru; nasi sote tulinyweshwa Roho mmoja.