Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / 2 Mambo ya Nyakati

 

2 Mambo ya Nyakati 25.21

  
21. Basi Yehoashi mfalme wa Israeli akakwea; wakatazamana uso kwa uso, yeye na Amazia mfalme wa Yuda huko Beth-shemeshi, ulio wa Yuda.