Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Ezekieli

 

Ezekieli 4.13

  
13. Bwana akasema, Hivyo ndivyo wana wa Israeli watakavyokula chakula chao, hali kimetiwa unajisi, kati ya mataifa nitakakowafukuza.