Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Hagai

 

Hagai 1.13

  
13. Ndipo Hagai mjumbe wa Bwana, katika ujumbe wa Bwana, akawaambia watu, akisema, Mimi nipo pamoja nanyi, asema Bwana.