Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Yeremia

 

Yeremia 17.13

  
13. Ee Bwana, tumaini la Israeli, wote wakuachao watatahayarika. Wao watakaojitenga nami wataandikwa katika mchanga, kwa sababu wamemwacha Bwana, kisima cha maji yaliyo hai.