Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Ayubu

 

Ayubu 7.21

  
21. Nawe, je! Mbona hunisamehe makosa yangu, Na kuniondolea maovu yangu? Kwa kuwa sasa nitalala mavumbini; Nawe utanitafuta kwa bidii, lakini sitakuwapo.