Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Waamuzi

 

Waamuzi 9.13

  
13. Huo mzabibu nao ukaiambia, Je! Niiache divai yangu, ambayo humfurahisha Mungu na wanadamu, ili niende nikayonge-yonge juu ya miti?