Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Mambo ya Walawi

 

Mambo ya Walawi 15.13

  
13. Na huyo aliye na kisonono atakapotakaswa na kisonono chake, atajihesabia siku saba kwa kutakaswa kwake, naye atazifua nguo zake; naye ataoga mwili wake katika maji ya mtoni, naye atakuwa safi.