Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Hesabu

 

Hesabu 32.13

  
13. Na hasira za Bwana ziliwaka juu ya Israeli, naye akawatembeza huku na huku jangwani muda wa miaka arobaini, hata kizazi hicho kizima kilichokuwa kimefanya uovu machoni pa Bwana kikaisha angamia.