Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Hesabu

 

Hesabu 8.21

  
21. Walawi wakajitakasa na dhambi, nao wakafua nguo zao; kisha Haruni akawasongeza mbele za Bwana wawe sadaka ya kutikiswa; Haruni akafanya kwa ajili yao ili kuwatakasa.