Home / Swahili / Swahili Union Bible / Web / Ufunuo wa Yohana

 

Ufunuo wa Yohana 20.13

  
13. Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na Kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.