|
|
Matendo ya Mitume 21.26
26. Basi, kesho yake Paulo aliwachukua wale watu akafanya ibada ya kujitakasa pamoja nao. Kisha akaingia Hekaluni kutoa taarifa kuhusumwisho wa siku za kujitakasa na kuhusu dhabihu itakayotolewa kwa ajiliya kila mmoja wao.
|
|
Text source: Swahili New Testament, public domain.
|
| |
| This project is based on delivering free-of-charge the Word of the Lord in all the world by using electronic means. If you want to contact us, you can do this by writing to the following e-mail: bible-study.xyz@hotmail.com |
|
|
|
SELECT VERSION
COMPARE WITH OTHER BIBLES
|
|