|
|
Mathayo 12.42
42. Malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atakihukumu kwamba kina hatia. Maana yeye alisafiri kutoka mbali akajakusikiliza maneno ya hekima ya Solomoni, na kumbe hapa kuna kikuu*fe*kuliko Solomoni.
|
|
Text source: Swahili New Testament, public domain.
|
| |
| This project is based on delivering free-of-charge the Word of the Lord in all the world by using electronic means. If you want to contact us, you can do this by writing to the following e-mail: bible-study.xyz@hotmail.com |
|
|
|
SELECT VERSION
COMPARE WITH OTHER BIBLES
|
|