Bible Study: FrontPage




 

Mathayo, Chapter 22

Bible Study - Mathayo 22 - Swahili - Swahili New Testament - Web
 
 
 
Comment!       Comment Disqus!
  
1. Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano: 1Kisha Yesu akauambia umati wa watu pamoja na wanafunzi wake,
  
2. "Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi. 2"Walimu wa Sheria na Mafarisayo wana mamlaka ya kufafanuaSheria ya Mose.
  
3. Basi, akawatuma watumishi kuwaita walioalikwa waje arusini, lakini walioalikwa hawakutaka kufika. 3Kwa hiyo shikeni na kutekelezachochote watakachowaambieni. Lakini msiyaige matendo yao, maanahawatekelezi yale wanayoyahubiri.
  
4. Akawatuma tena watumishi wengine, akisema, `Waambieni wale walioalikwa: karamu yangu iko tayari sasa; fahali wangu na ng`ombewanono wamekwisha chinjwa; kila kitu ni tayari, njoni arusini.`4Hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani, lakini wao wenyewehawataki kunyosha hata kidole wapate kuibeba.
  
5. Lakini wao hawakujali, wakaenda zao; mmoja shambani kwake, mwingine kwenye shughuli zake, 5Wao hufanya matendo yao yote ili watu wawaone.Huvaa tepe zenye maandishi ya Sheria juu ya panda la uso na mikononina hupanua pindo za makoti yao.
  
6. na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua. 6Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katikamasunagogi.
  
7. Yule mfalme akakasirika, akawatuma askari wake wakawaangamize wauaji hao na kuuteketeza mji wao. 7Hupenda kusalimiwa kwa heshima sokoni nakupendelea kuitwa na watu: `Mwalimu.`
  
8. Kisha akawaambia watumishi wake: `Karamu ya arusi iko tayari kweli, lakini walioalikwa hawakustahili. 8Lakini ninyi msiitwe kamwe`Mwalimu,` maana mwalimu wenu ni mmoja tu, nanyi nyote ni ndugu.
  
9. Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje arusini.` 9Wala msimwite mtu yeyote `Baba` hapa duniani, maanaBaba yenu ni mmoja tu aliye mbinguni.
  
10. Wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. Nyumba ya arusi ikajaa wageni. 10Wala msiitwe`Viongozi,` maana kiongozi wenu ni mmoja tu, ndiye Kristo.
  
11. "Mfalme alipoingia kuwaona wageni, akamwona mtu mmoja ambaye hakuvaa mavazi ya arusi. 11Aliye mkubwa miongoni mwenu ni lazima awe mtumishiwenu.
  
12. Mfalme akamwuliza, `Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la arusi?` Lakini yeye akakaa kimya. 12Anayejikweza atashushwa, na anayejishushaatakwezwa.
  
13. Hapo mfalme akawaambia watumishi, `Mfungeni miguu na mikono mkamtupe nje gizani; huko atalia na kusaga meno."` 13"Ole wenu walimu wa Sheriana Mafarisayo, wanafiki! Mnaufunga mlango wa Ufalme wa mbinguni mbeleya macho ya watu. Ninyi wenyewe hamwingii ndani, wala hamwaruhusuwanaotaka kuingia waingie.*fj* wajane na kujisingizia kuwa watu wemakwa kusali sala ndefu. Kwa sababu hiyo mtapata adhabu kali.
  
14. Yesu akamaliza kwa kusema, "Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa." 14missing
  
15. Kisha, Mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa Yesu kwa maneno yake. 15"Ole wenu walimu wa Sheria na Mafarisayo, wanafiki!Mnasafiri baharini na nchi kavu ili kumpata mtu mmoja afuate diniyenu. Mnapompata, mnamfanya astahili maradufu kwenda katika moto waJehanamu kuliko ninyi wenyewe.
  
16. Basi, wakawatuma wafuasi wao pamoja na wafuasi wa kikundi cha Herode. Wakamwuliza, "Mwalimu, tunajua kwamba wewe ni mtu mwaminifu,na kwamba wafundisha njia ya Mungu kwa uaminifu; humwogopi mtu yeyote,maana cheo cha mtu si kitu kwako. 16"Ole wenu viongozi vipofu! Ninyimwasema ati mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapakwa dhahabu ya Hekalu, kiapo hicho kinamshika.
  
17. Haya, twambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa Kaisari?" 17Enyi vipofu wapumbavu! Kipi kilicho cha maana zaidi: dhahabu auHekalu linalofanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?
  
18. Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, "Enyi 18Tena mwasema ati mtu akiapa kwa madhabahu si kitu; lakini akiapa kwa zawadi iliyowekwajuu ya madhabahu, kiapo hicho humshika.
  
19. Nionyesheni fedha ya kulipia kodi." Nao wakamtolea sarafu ya fedha. sarafu ya fedha. 19Enyi vipofu! Ni kipi kilicho cha maana zaidi: ilezawadi, au madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa takatifu?
  
20. Basi, Yesu akawauliza, "Sura na chapa hii ni ya nani?" 20Anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote kilichowekwajuu yake.
  
21. Wakamjibu, "Ni vya Kaisari." Hapo Yesu akawaambia, "Basi, mpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari, na Mungu yaliyo yake Mungu." 21Naanayeapa kwa Hekalu ameapa kwa hilo Hekalu na pia kwa yule akaayendani yake.
  
22. Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao. 22Na anayeapa kwa mbingu ameapa kwa kiti cha enzi cha Mungu, na kwa huyoaketiye juu yake.
  
23. Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo walimwendea Yesu. Hao ndio wale wasemao kwamba wafu hawafufuki. 23Ole wenu walimu wa Sheria naMafarisayo, wanafiki! Mnatoza watu zaka, hata juu ya majani yenyeharufu nzuri, bizari na jira, na huku mnaacha mambo muhimu ya Sheriakama vile haki, huruma na imani. Haya ndiyo hasa mliyopaswakuyazingatia bila kusahau yale mengine.
  
24. Basi, wakamwambia, "Mwalimu, Mose alisema mtu aliyeoa akifa bila kuacha watoto, lazima ndugu yake amwoe huyo mama mjane, amzalie nduguyake watoto. 24Viongozi vipofu! Mnatoa nzi katika kinywaji, lakinimnameza ngamia! ic
  
25. Sasa, hapa petu palikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa kisha akafa bila kujaliwa watoto, akamwachia ndugu yake huyo mke wake mjane.25"Ole wenu walimu wa Sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mnasafishakikombe na bakuli kwa nje, lakini ndani mnaacha kumejaa vitumlivyopata kwa unyang`anyi na uchoyo.
  
26. Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba. 26Mfarisayo kipofu! Kisafishe kikombe ndani kwanza na nje kutakuwasafi pia.
  
27. Baada ya ndugu hao wote kufa, akafa pia yule mama. 27"Ole wenu walimu wa Sheria na Mafarisayo, wanafiki! Mko kama makaburiyaliyopakwa chokaa ambayo kwa nje yanaonekana kuwa mazuri, lakinindani yamejaa mifupa ya maiti na kila namna ya uchafu.
  
28. Je, siku wafu watakapofufuka mama huyo atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba? Maana Wote saba walimwoa." 28Hali kadhalika ninyimnaonekana na watu kwa nje kuwa wema, lakini kwa ndani mmejaa unafikina uovu.
  
29. Yesu akawajibu, "Kweli mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu! 29"Ole wenu walimu wa Sheria naMafarisayo, wanafiki! Mnajenga makaburi ya manabii na kuyapambamakaburi ya watu wema.
  
30. Maana wafu watakapofufuliwa hawataoa wala kuolewa, watakuwa kama malaika mbinguni. 30Mwasema: `Kama sisi tungaliishi nyakati za wazeewetu hatungalishirikiana nao katika mauaji ya manabii!`
  
31. Lakini kuhusu suala la wafu kufufuka, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? 31Hivyo mnathibitisha ninyi wenyewe kwamba ninyi ni watoto wawatu waliowaua manabii.
  
32. Aliwaambia, `Mimi ni Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo!` Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai." 32Haya, kamilisheni ilekazi wazee wenu waliyoianza!
  
33. Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake. 33Enyi kizazi cha nyoka wenye sumu! Mnawezaje kuiepa hukumu ya moto waJehanamu?
  
34. Mafarisayo waliposikia kwamba Yesu alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, wakakutana pamoja. 34Ndiyo maana mimi ninawapelekea ninyimanabii, watu wenye hekima na walimu; mtawaua na kuwasulubisha baadhiyao, na wengine mtawapiga viboko katika masunagogi yenu na kuwasakakatika kila mji.
  
35. Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu, 35Hivyo lawama yote itawapateni kwa ajili ya damu yote ya watu wemailiyomwagwa juu ya ardhi. Naam, tangu kuuawa kwa Abeli ambaye hakuwana hatia, mpaka kuuawa kwa Zakariya, mwana wa Barakia, ambaye mlimuuaHekaluni kati ya patakatifu na madhabahu.
  
36. "Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika Sheria ya Mose?" 36Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambohaya.
  
37. Yesu akamjibu, "`Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote.` 37"Yerusalemu, Ee Yerusalemu!Unawaua manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako. Mara ngapinimejaribu kuwakusanya watoto wako kwangu, kama vile kukuanavyokusanya vifaranga vyake chini ya mabawa yake, lakini hukutaka.
  
38. Hii ndiyo amri kuu ya kwanza. 38Haya basi, nyumba yako itaachwa mahame.
  
39. Ya pili inafanana na hiyo: `Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.` 39Nakwambia kweli, hutaniona tena mpaka wakatiutakaposema: `Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana."` ic
  
40. Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili."
  
41. Mafarisayo walipokusanyika pamoja, Yesu aliwauliza,
  
42. "Ninyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?" Wakamjibu, "Wa Daudi."
  
43. Yesu akawaambia, "Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:
  
44. `Bwana alimwambia Bwana wangu: keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke adui zako chini ya miguu yako.`
  
45. Basi, ikiwa Daudi anamwita Kristo `Bwana,` anawezaje kuwa mwanawe?"
  
46. Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.


Search in:
Terms:

Vote and Comment on Facebook:Recommend This Page:
Post on Facebook Add to your del.icio.us Digg this story StumbleUpon Twitter Google Plus Post on Tumblr Add to Reddit Pin this story Linkedin Google Bookmark Blogger
Insert Your Personal Insight:

Please do not make mean comments and follow the biblical and spiritual character of this forum. If, however unpleasant situations arise, we request to flag it to us in order to evaluate the situation.

Text source: Swahili New Testament, public domain.

This project is based on delivering free-of-charge the Word of the Lord in all the world by using electronic means. If you want to contact us, you can do this by writing to the following e-mail: bible-study.xyz@hotmail.com


SELECT VERSION

COMPARE WITH OTHER BIBLES