|
|
Mathayo 8.28
28. Yesu alifika katika nchi ya Wagerasi,*fb* ng`ambo ya ziwa, na huko watu wawili waliopagawa na pepo wakakutana naye wakitokea makaburini.Watu hawa walikuwa wenye kutisha mno, hata hakuna mtu aliyethubutukupita katika njia hiyo.
|
|
Text source: Swahili New Testament, public domain.
|
| |
| This project is based on delivering free-of-charge the Word of the Lord in all the world by using electronic means. If you want to contact us, you can do this by writing to the following e-mail: bible-study.xyz@hotmail.com |
|
|
|
SELECT VERSION
COMPARE WITH OTHER BIBLES
|
|