Bible Study: FrontPage




 

Zaburi, Chapter 111

Bible Study - Zaburi 111 - Swahili - Swahili Union Bible - Web
 
 
 
Comment!       Comment Disqus!
  
1. Haleluya Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote,Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.
  
2. Matendo ya Bwana ni makuu, Yafikiriwa sana na wapendezwao nayo.
  
3. Kazi yake ni heshima na adhama, Na haki yake yakaa milele.
  
4. Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu; Bwana ni mwenye fadhili na rehema.
  
5. Amewapa wamchao chakula; Atalikumbuka agano lake milele.
  
6. Amewajulisha watu wake uwezo wa matendo yake, Kwa kuwapa urithi wa mataifa.
  
7. Matendo ya mikono yake ni kweli na hukumu, Maagizo yake yote ni amini,
  
8. Yamethibitika milele na milele, Yamefanywa katika kweli na adili.
  
9. Amewapelekea watu wake ukombozi, Ameamuru agano lake liwe la milele, Jina lake ni takatifu la kuogopwa.
  
10. Kumcha Bwana ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana akili njema, Sifa zake zakaa milele.


Search in:
Terms:

Vote and Comment on Facebook:Recommend This Page:
Post on Facebook Add to your del.icio.us Digg this story StumbleUpon Twitter Google Plus Post on Tumblr Add to Reddit Pin this story Linkedin Google Bookmark Blogger
Insert Your Personal Insight:

Please do not make mean comments and follow the biblical and spiritual character of this forum. If, however unpleasant situations arise, we request to flag it to us in order to evaluate the situation.

Text source: This text is in the public domain, downloaded from http://www.unboundbible.org, compiled by biblephone2008@gmail.com.

This project is based on delivering free-of-charge the Word of the Lord in all the world by using electronic means. If you want to contact us, you can do this by writing to the following e-mail: bible-study.xyz@hotmail.com


SELECT VERSION

COMPARE WITH OTHER BIBLES