Bible Study: FrontPage




 

Zaburi, Chapter 129

Bible Study - Zaburi 129 - Swahili - Swahili Union Bible - Web
 
 
 
Comment!       Comment Disqus!
  
1. Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Israeli na aseme sasa,
  
2. Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Lakini hawakuniweza.
  
3. Wakulima wamelima mgongoni mwangu, Wamefanya mirefu mifuo yao.
  
4. Bwana ndiye mwenye haki, Amezikata kamba zao wasio haki.
  
5. Na waaibishwe, warudishwe nyuma, Wote wanaoichukia Sayuni.
  
6. Na wawe kama majani ya darini Yanyaukayo kabla hayajamea.
  
7. Ambayo mvunaji haujazi mkono wake, Wala mfunga miganda kifua chake.
  
8. Wala hawasemi wapitao, Amani ya Bwana ikae nanyi, Twawabariki kwa jina la Bwana.


Search in:
Terms:

Vote and Comment on Facebook:Recommend This Page:
Post on Facebook Add to your del.icio.us Digg this story StumbleUpon Twitter Google Plus Post on Tumblr Add to Reddit Pin this story Linkedin Google Bookmark Blogger
Insert Your Personal Insight:

Please do not make mean comments and follow the biblical and spiritual character of this forum. If, however unpleasant situations arise, we request to flag it to us in order to evaluate the situation.

Text source: This text is in the public domain, downloaded from http://www.unboundbible.org, compiled by biblephone2008@gmail.com.

This project is based on delivering free-of-charge the Word of the Lord in all the world by using electronic means. If you want to contact us, you can do this by writing to the following e-mail: bible-study.xyz@hotmail.com


SELECT VERSION

COMPARE WITH OTHER BIBLES